Ramadhani katika Quran
IQNA - Usiku wa Qadr, au Laylatul Qadr unaojulikana pia kama Usiku wa Hatima, una sifa nzuri kama zilivyoangaziwa katika Qur'ani Tukufu. Fadhila hizi hutumika kuwahimiza waumini wanufaike na usiku huu ambao unapatikana katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478617 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/02
“ Laylatul Qadri (Usiku wa Cheo Kitukufu) ni bora kuliko miezi elfu”. Hii aya ya 3 ya Surat Al-Qadr katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475158 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/23